Monday 5 May 2014

DIAMOND PLATNUMZ AKIFURAHIA TUZO 7 ZA KTMA 2014

Maneno ya Diamond: "Mda mwingine nakosa maneno ya kuzungumza
kuonyesha shukrani zangu kwa nyie mashabiki wangu mlioniwezesha ushindi wa hizi tuzo zote,ila neno moja tu napenda niseme, AHSANTENI,NAAHID KURUDISHA
FADHILA KWA KUWAFANYIA MAMBO MAKUBWA ZAIDI.
Hapa akifurahia jambo na "Beautiful Onyinye" Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment

Maoni yako