Friday 9 May 2014

AJALI-DAR EXPRESS

Basi la Kampuni ya Dar Express T580CEP limepata ajali leo majira ya saa nne asubuhi maeneo ya Wami. Lilikuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Nairobi kupitia Moshi na Arusha. Abiria wengi wamenusurika japo wapo majeruhi wachache. Tuwaombee wapate nafuu mapema.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako