Thursday 30 April 2009

SOKWE ASIYE NA MANYOYA

SIKU 100 - RAIS BARAK OBAMA U.S.A

MABOMU YALIPUKA GHALA LA SILAHA LA JESHI MBAGALA

Moshi ukifuka eneo la tukio

Usafiri kutoka na kwenda Mbagala ulikuwa ni kwa MIGUU (TZ 11)

Wananchi wakiagizwa waondoke eneo hilo maana si salama kutokana na mabomu hayo

Wanajeshi wakiondoa mabaki ya mabomu hayo.
Bomu

Wednesday 29 April 2009

MAMBO YA KIBONGO-BONGO

Labda Mpendwa msomaji wewe wajua nini kinaendelea hapa kati ya Dereva na Askari (Trafiki) huyo.

Monday 27 April 2009

YA KALE NA YA SASA

Katika mfululizo huu ninawaletea picha za fedha za nyumbani Tanzania katika nyakati tofauti tofauti za uongozi tangu zamani hadi sasa. Hii ni katika kujikumbusha tu fedha tulizowahi kutumia.

Picha zote kwa hisani ya www.banknotesinfo.com/Tanzania

Shilingi Elfu Kumi hadi sasa

Shilingi Elfu Kumi wakati wa Mwinyi

Shilingi 5000-hadi sasa

Shilingi Elfu Tano wakati wa Mkapa

Shilingi Elfu Tano wakati wa Mwinyi


Shilingi 2000-hadi sasa

Shilingi 1000-hadi sasa

Shilingi 1000-Mkapa

Shilingi 1000-Mwinyi


Shilingi 1000-Nyerere

Shilingi 500 toka wakati wa Mhe.Mkapa hadi sasa

Shilingi 500 wakati wa Alhaji Mwinyi

Shilingi 200 wakati wa Alhaji Mwinyi


Shilingi 100 nyakati za mwanzo za Nyerere




Shilingi 50 wakati wa Mwinyi


Shilingi Hamsini wakati wa Nyerere


Shilingi 20 wakati wa Mwinyi

Shilingi 20 wakati wa Nyerere





Shilingi 10 wakati wa Nyerere

Shilingi 5 nyakati za mwanzo wa Nyerere

UCHOCHORO WA KWENDA NYUMBANI


Mtoto mzuri wa nyumbani akitazama uchochoro wa kuelekea nyumbani,huku mazingira yakionekana yenye uhai kwa kijani kibichi.Kweli nyumbani kuzuri licha ya mambo ya DECI na EPA.

JE, WAKUMBUKA ILE METHALI YA "MFICHA............"

Sunday 26 April 2009

KHANGA ZETU NYUMBANI ZINA UJUMBE

YALE YALE!


Mbunge wa zamani wa Biharamulo Magharibi ndugu FAUSTINE KABUYE alifariki katika ajali hiyo pamoja na watu wengine wawili sehemu za Kilosa mkoani Morogoro

MUUNGANO DAY


Leo ni sikukuu muhimu sana katika historia ya nchi yetu ambapo Tanganyika na Zanzibari ziliunganishwa na kuwa TANZANIA.Twajivunia Muungano wetu, matunda na Hayati Mwl.Nyerere na Hayati Mzee Karume. Tuudumishe muungano.Mungu Ibariki Tanzania.

Saturday 25 April 2009

KAZI NI KAZI




Wakati hali ya maisha inazidi kuwa ngumu,baadhi ya watu wanaendelea kujiwajibisha ili kujikimu kimaisha, lakini wengine wanaona bora wakae barabarani na kuomba msaada kwa wapita njia. Yaani ni kama vile huyu kaka anayewajibika kupasua mawe kupata kokoto anapoziuza, akiwa anarudi nyumbani apitie hapo alipokaa huyu mama ombaomba ampatie kiasi kidogo, hii si sawa jamani. Tuendelee kuwajibika tu maisha yataboreka.

"DON'T JUST SIT THERE, DO SOMETHING" lakini hiyo "SOMETHING" isiwe kuombaomba

Tuesday 21 April 2009

UMASKINI ULIOPITILIZA

Mkojo wa ng'ombe unapotumika badala ya maji

Wengine hapa wanayachezea maji

Ukame unaosababishwa na kukosekana kwa mvua ya kutosha kumefanya mito,vijito,visima na mifereji kukauka. Maji yamekuwa shida na hivyo kuwafanya wenzetu watafute mbinu mbadala ya kupata kimiminika kama maji.