Saturday, 18 April 2009

MAPAMBO YA KUMBI ZA SHEREHE

Hizi picha zaonyesha mojawapo ya namna ya kupamba kumbi za sherehe mbalimbali. Nitawaletea picha na mawasiliano ya moja kwa moja ya wahusika wanaoweza kukupambia sherehe yako kwa staili na urembo unaopenda kadiri ya nguo mtakazovaa n.k.

4 comments:

 1. wekeni namba za simu za mpambaji

  ReplyDelete
  Replies
  1. Noamba kuuliza je niwapi wanauza vitambaa vya kupambia na bei zipoje plz?

   Delete
 2. Habari nataka kujifunza upambaji namba mawasiliano yenu

  ReplyDelete
 3. habari na mimi pia nimependa kazi yeu naomba kujifunza zaidi namba zangu ni 0715248113

  ReplyDelete

Maoni yako