Monday 13 April 2009

IJUE RAMANI YA (Nyumbani) TANZANIA


Je wakumbuka ule wimbo wa;
"Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na makonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa......
Nchi hiyo mashuhuri huitwa TANZANIA"

2 comments:

  1. Ivi wewe mtanzania unatumia ramani kama hiyo hapo juu, je mpaka wa tanzania na malawi ndio jinsi ambavyo ulisoma shuleni kwenu kweli?
    So shame

    ReplyDelete
  2. Hapo kwenye mpaka jamaa kachemka

    ReplyDelete

Maoni yako