Monday 13 April 2009

KINYWAJI MAARUFU CHA NYUMBANI.



"Mmmmmmm safi kweli kweli, imeiva vizuri" Ni kama vile Babu huyu anasema hivyo akiwa anajinoma chibuku ya mbege. Lakini yawezekana pia anainywa huku akijenga hisia ya vinywaji vingine kama hivi vya kisasa hapa.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako