Sunday 5 April 2009

ENZI ZILEEEEEEEEEEEEEE



Hii kwa kweli ilikuwa mbaya sana. Tunatumikishwa kama punda "nyumbani" kwetu, mtu ukiwa umechoka na kazi ndio balaa kabisa hata mikono unakatwa. Loh! kweli wakoloni walitunyanyasa sana. Tulikotoka ni mbali!
Picha hizi zinaonyesha manyanyaso wakati wa ukoloni wa Mjerumani nchini.

Picha kwa hisani ya Swahili Time

No comments:

Post a Comment

Maoni yako