Friday 10 April 2009

FAMILIA YA BABA WA TAIFA ENZI HIZO


Kweli Mwalimu Nyerere alikuwa na tunu nyingi hasa ya kuwafurahisha watu akianzia kwenye familia yake. Tazama wanafamilia wanavyotabasamu kwa furaha.Mmmmm lakini kutambua majina ya watoto hapa ni kazi kweli kweli.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako