Tuesday 7 April 2009

MATUMIZI YA BARABARA



Wakati jamii zinaangamia kutokana na ajali za barabarani, bado madereva wengi hasa wa mabasi ya abiria wanaendelea kupuuzia sheria za barabarani. Ama kweli nyumbani bado tuna kazi ya kuwajibikia ili tuwakaribie wenzetu walioendelea katika matumizi ya barabara.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako