
Tayari tumeshasahau yaliyotupata kule Mbeya mishoni miaka ya 90, na hata yaliyotokea Kenya hivi karibuni. Hapa ni nje kidogo ya Morogoro ambapo trela la Gari la mafuta ya taa liliacha njia na kupinduka, wananchi wameona "wajisevie".Hii ni hatari
"Home Sweet Home"
No comments:
Post a Comment
Maoni yako