Tuesday 4 August 2009

WAMESHAANZA

Hata mwezi haujapita tangu Irene Uwoya afunge ndoa na mwanasoka maarufu wa Rwanda,mambo yameshaanza.mmmh!

Picha ya kigazeti kwa hisani ya Global Publishers

2 comments:

  1. Ndoa si mchezo, ndoa ni kuvumiliana, kuaminiana na kuombeana na bila kusahau ni kupendana na ni kazi kubwa sana.

    ReplyDelete

Maoni yako