Sunday 16 August 2009

KARIBU TULE

Ugali unasongwa hapa tayari, sasa mboga sijui iko wapi, lakini utalika tu.

1 comment:

  1. Heaven Help Us all.
    Tatizo sio kwamba wanasonga ugali namna hii, ila tatizo ni kwamba HAWAKUSTAHILI KUSONGA UGALI NAMNA HII.
    Wanalazimika kuishi maisha ya namna hii wakati "waheshimiwa" wanaendelea KUTUMBUA na kuchukua hata yale yaliyo halali ya hawa wasiojua hata tafsiri ya SIASA.
    Kwani kuna haja gani ya kuwa na wabunge? Kuna haja gani ya kuwa na viongozi wanaoitwa wa-ki-demokrasia kama haimfai mwananchi?
    Tunapenda kusifiwa na wale wasiotutakia mema tukiamini ipo siku tutakuja kuwa kama wao kwa msaada wao. Huko ni KUTEKENYA JIWE.
    Naja tule. Kwani kwa pamoja tutaweza kusahau baadhi ya machungu tunayosababishiwa na kuendeleza maisha HATUA MOJA KWA WAKATI
    Blessings

    ReplyDelete

Maoni yako