Saturday 1 August 2009

MWEZI WA NANE HUUUUOOOOO, "CHAPOMBE" TUTAFIKA KWELI?

Ni tarehe mosi ya mwezi mpya,huku kila mmoja akijaribu kujipanga afanye nini mwezi huu kuboresha maisha.Kwa wengine ni kama mwezi uliopita tu hakuna mabadiliko yoyote yatarajiwayo.Ushauri tu kwa wale mnaokunywa kupindukia,ni vema kujitafiti upya kuona mwisho wa mwezi unapofika nimefaidika nini au nimejiletea aibu tu na kujidhalilisha.Picha hizi zikupe changamoto ndugu mdau.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako