Saturday 8 August 2009

NANE NANE NA MISS ILALA

Huyu ndiye Miss Redds Ilala 2009 Sylvia Frank Shally

Hawa ndio vinara watatu bora wa Redd Miss Ilala 2009 wakiwa wamepozi mara baada ya kunyakua nafasi hizo,usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya karimjee hall,jijni Dar

1 comment:

  1. Ningefurahi kama kungekuwa na mrs labda na wengine tungepata nafasi kuwa.

    ReplyDelete

Maoni yako