Wednesday 5 August 2009

MOHAMED TRANS SPEED PALE PALE

Ni hivi majuzi tu kulitokea ajali ikihusisha Basi la Kampuni ya Mabasi ya Mohamed Trans, jana kama inavyoonyesha pichani Polisi wa Usalama Barabarani Mjini Korogwe walikuwa wakifanya doria na ukaguzi wa spidi za magari.Inaonekana kama vile polisi huyu anamwambia dereva,"weka pembeni spidiilikuwa kali"

No comments:

Post a Comment

Maoni yako