Saturday 15 August 2009

MIGOMBA / NDIZI: ZAO ASILIA MKOANI KILIMANJARO NA KAGERA

Hatua za ukuaji wa Migomba hadi kupata ndizi.

PICHA HII HAPA CHINI NI KWA HISANI YA MITIKI.BLOGSPOT.COM



PICHA HII HAPA CHINI NI KWA HISANI YA MITIKI.BLOGSPOT.COM

Ndizi iliyokomaa tayari kwa kutengenezea chakula kama Machalari, Mtori n.k.

Ndizi mbivu nzuri kwa mlo na hata kwa wenyeji kutengenezea Pombe ya Mbege.
Ndizi zatumika kutengezeza mkate mzuri sana (Banana Oats Bread)

Na juisi vile vile

3 comments:

  1. Tumebarikiwa saaana kwa vyakula hivi Organic jpo tunavipuuza na sasa hata waTanzania ndani ya Tanzania wanataka kununua ndizi Supermarket. Sijui ni ujinga gani huuuu?
    Labda kwa kuwa "zina harufu ya friji"
    Blessings

    ReplyDelete
  2. Leo umeniweza maana mi ni mpenzi saanaaaaa wa ndizi. Ila asante kwa picha nzuri nimekumbuka Lundo na Matetereka-Lilondo.

    ReplyDelete
  3. Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.

    ReplyDelete

Maoni yako