Friday 7 August 2009

BADO TUMO TU


Bado inatembea kwenye njia za panya. Mwenye nalo hana hata haja ya kuisajili namba mpya, haifiki mjini kwenye trafiki! Maandishi yanasema..."BAYA BABAKO ANALO?" Hapa jamaa anaringishia urithi alopata toka kwa baba yake.

Picha kwa hisani ya MJENGWA

1 comment:

  1. Kumbe kuna asiyependa kurith. Kazi kwelikweli umeniacha hoi yaani nimecheka kweli

    ReplyDelete

Maoni yako