Saturday 2 May 2009

SHUKRANI - 40 YA BABA MZAZI

Mama mzazi, ndugu, jamaa na marafiki wa Ukoo wa Mwangoka na Swai, leo wamekutana nyumbani Kilingi Sanya Juu-Kilimanjaro kwa ajili ya Ibada ya kutimiza siku 40 tangu Baba yetu Mpendwa Amedeus Mwangoka atutoke. Shukrani za pekee kwa sala, misaada ya hali na mali katika kipindi chote hiki cha majonzi. Tuzidi kumwombea Baba yetu apumzike kwa amani.
NAWASHUKURU PIA WANABLOG

Mmiliki wa Blog hii akiwa amevalia tshirt yenye picha ya Baba yake siku ya Mazishi

No comments:

Post a Comment

Maoni yako