Wednesday 13 May 2009

NYUMBANI KWA RAIS WETU

Hii ndiyo nyumba ambapo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa na kukulia. Ni katika nyumba hii iliyopo katika kijiji cha Msoga,Bagamoyo kilomita 10 toka Chalinze-Tanzania .

1 comment:

  1. NYUMBA CO MBAYA BT MUHESHIMIWA ANAPASWA KUJIPANGA KUIKARABATI UPYA IKIBIDI KUIBOMOA NA KUJENGA NYINGINE

    ReplyDelete

Maoni yako