Friday 8 May 2009

MAJAMBAZI KARIAKOO LEO

Makutano ya mtaa wa Swahili na Msimbazi hapo Kariakoo leo palikuwa na patashika kati ya majambazi na Polisi. Invyoonekana ilifanyika kazi nzuri kwa upande wa polisi katika kudhibiti Majambazi hayo. Hongereni walinda amani wetu.