Timu ya Taifa ya Tanzania (kilimanjaro Stars) imenyakua Kombe la CECAFA Tusker Challenge jioni hii katika Uwanja wa Taifa ilipochuana chidi ya Timu ya Ivory Cost Kilimanjaro Stars Timy ya Ivory Cost
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais , wabunge na madiwani yasemekana maisha yamepinga na kunyong'onyea kama kiatu hiki. Ya kweli hayooooo Ila kwa upande mwingine wa shilingi, watu wanazidi kujazia (tazama picha)
Ni wiki imeanza baada ya pilikapilika za Eid el Fitr na mapumziko marefu ya mwisho wa juma la sikukuu. Tayari katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dar watu ni busy. Dada huyu anaonekana akitafuta maji kwa matumizi ya nyumbani. Lakini angalia anavyosota. TANZANIA KWA HALI HII TUTAFIKA KWELI.
Geneviev Emmanuel ndiye mshindi wa mwaka 2010 wa Miss Vodacom Tanzania.Ni kutoka Kitongoji cha Temeke. Fainali za mashindano hayo zilifanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City-Mwenge DSM. Mshindi wa Pili alikuwa Glory Mwanga toka Arusha na wa Tatu ni Consolata Lukosi kutoka Ilala
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!