Monday, 14 December 2015

WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI AANZA NA SOKOMOKO LA MVOMERO

Mkulima mmoja ameuawa, mwingine amejeruhiwa wakiwemo askari polisi wawili kwenye mapigano dhidi ya wafugaji wa kimang’ati kwenye kijiji cha Dihimba Turiani, mkoani Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Betty Mkwasa amesema mapigano hayo yametokea baada ya wafugaji kutaka kuwachukua kwa nguvu ng’ombe zaidi ya 150 waliokuwa wakishikiliwa na wakulima kwenye ofisi ya kijiji hicho.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako