Saturday, 5 December 2015

ADA SHULE BINAFSI 2016

ADA 2016: Shule binafsi zimekatazwa kuongeza ada mwaka wa masomo 2016 hadi "Ada Elekezi" itakapotolewa, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo Profesa Sifuni Mchome asema.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako