Wednesday, 9 December 2015

SIKU YA USAFI KITAIFA IMETEKELEZWA VIZURI

Mhe.rais Magufuli awa mfano
Makamu wa Rais Mhe.samia Suluhu aonyesha mfano kwa kuzingatia usafi.
Mhe.waziri Mkuu Kassim Majaliwa nae ashiriki zoezi la usafi kikamilifu
Rais Mstaafu mhe.Jakaya Kikwete na Mkewe mama Salma wameshiriki na wananchi wengine katika zoezi la usafi
Masanja Mkandamizaji nae alikuwepo.....

No comments:

Post a Comment

Maoni yako