Friday 7 August 2015

YANAYOJIRI KUHUSU PROFESA LIPUMBA



Saa chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini. Hata hivyo, haikufahamika mara moja amekwenda nchi gani na atakaa kwa muda gani. Profesa Lipumba aliondoka nchini baada ya kumaliza mkutano wake na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacok jijini Dar es Salaam, ambako alitangaza kujiondoa katika chama chake

No comments:

Post a Comment

Maoni yako