Saturday 15 August 2015

MHE LOWASSA AWASILI ARUSHA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward
Lowassa na Mkewe, Mama Regina Lowassa wakifanyia Ibada ya kimila na
Wazee (Malaigwanani) ya Kimasai, wakati wa Mkutano wa kutafuta wadhamini
wa Tume ya Uchaguzi pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika
Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

Maoni yako