Wednesday 5 August 2015

MKUTANO MKUU CHADEMA WAWAPITISHA.....

Mkutano Mkuu wa Chadema kwa pamoja umempitisha Mwanasiasa Edward Lowassa kama mgombea Urais na Juma Haji Duni kuwa mgombea Mwenza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 25 oktoba 2015. Katika upigaji kura Kanda zote zimepiga kura ya NDIYO kwa Mh. Edward Lowassa na hakuna kanda iliyosema HAPANA, huku wakishangilia kwa nguvu.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako