Meza kuu katika Hafla iliyoandaliwa Mlimani City Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza na kumuaga shujaa wa wasanii Mhe. Rais jakaya Mrisho Kikwete.
Mhe Rais Kikwete akikabidhiwa zawadi ya picha yake na Nikki wa Pili, picha hii imetengenezwa kwa kuunganisha majina yote ya wasanii.
Rais Kikwete akiongea na wasanii
AZAKI ZAITAKA SERIKALI KUTENGA 3% KWA ULINZI WA MTOTO
57 minutes ago



No comments:
Post a Comment
Maoni yako