Saturday 6 June 2015

SAFARI YA MATUMAINI YA MHE/EDWARD LOWASA YAANZA KUSHIKA KASI

Baada ya kukabidhiwa fomu za kusaka wadhamini kwa ajili ya kinyang'anyiro cha Urais hapo Oktoba 2015, Mhe Edward Lowassa amewasili Jijini Mwanza kuomba ridhaa ya wananchi na Wanachama wa CCM ili apitishwe kuwania uraisi.
Mhe.Lowassa, akionyesha fomu ambayo tayari imejazwa na wadhamini wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment

Maoni yako