Friday 5 June 2015

KILIMANJARO YAONGOZA USIMAMIZI WA USAFI WA MAZINGIRA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya mshindi wa kwanza katika usimamizi wa usafi wa mazingira, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja vya Tangamani, mkoano Tanga, leo Juni 5, 2015
Muonekano safi wa Mji wa Moshi Mnara wa Saa karibu na Posta/KNCU
Mkoa wa Dodoma pia ulipewa Tuzo hiyo katika sherehe hizo. Pichani Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Galawa akipokea tuzo kutoka kwa Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Maoni yako