Friday 5 June 2015

MWONEKANO MPYA WA KINYWAJI CHA REDD"S ORIGINAL

Meneja wa Makao Makuu ya Kiwanda cha Bia Tanzania(TBL), Calvin Martin na Meneja wa Kinywaji cha Redd’s Original, Victoria Kimaro wakionyesha muonekano mpya wa kinywaji cha Redd’s Original wakati wa hafla ya uzinduzi wa kinywaji hicho kwa wafanyakazi iliyofanyika Dar es Salaam jana
Wafanyakazi wa TBL wakipata maakuli na vinywaji katika uzinduzi huo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako