Friday 12 June 2015

ASAS DIARIES KIDEDEA

Afisa masoko wa kampuni ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzake baada ya kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika bidhaa za Asas Dairies Ltd

Medali ,vyeti na tuzo ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara

No comments:

Post a Comment

Maoni yako