Saturday 6 June 2015

NAMNA HII TUTAFIKA KWELI KIELIMU?

Pamoja na matatizo mengi wanayokumbana nayo waalimu, lakini tunazidi kuwapa moyo na kuwaasa waendelee kujitahidi tu. Ualimu ni wito.
Lakini kutotatuliwa matatizo yao kwa wakati isiwe sababu ya kutokuwa makini katika ufundishaji wao.
Ona huu mtihani wa kufunga muhula:-

Chagua jibu lililo sahihi
1. Rais wa Sasa wa Tanzania ni Kikwe__
a)ta (b)te (c)ti (d)to (e)tu
2. Aliyefanya Tanganyka iwe huru ni Nyere__
a)ra (b)re (c)ri (d)ro (e)ru.
3. Mlima mref kuliko yot Afrika ni Kilima___ro
a)nja (b) nje (c)nji (d)njo (e)nju.
4. Tanzania imepakana na bahari ya hi___
a)nda (b)nde (c)ndi (d)ndo (e)ndu.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako