Huu ndio mwonekano mpya wa daraja la kigamboni kwa sasa
Hivi karibuni waziri wa ujenzi Mheshimiwa John Magufuli alifanya ukaguzi wa maendeleo ya daraja la kigamboni. Na hivi ndio linavyoonekana kwa sasa likiwa limeshaunganisha nchi kavu mbili
NBAA YAWAONGEZEA UJUZI WAKUFUNZI MITIHANI CPA
2 hours ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako