Thursday 18 June 2009

TOFAUTI YA "A" na "Z"

Moja ya nyumba za ghorofa za vijijini

Ghorofa za Benki Kuu Tanzania Jijini Dar-es-Salaam

Watoto wakiwa kanisani, katika moja ya makanisa ya Vijijini.
Hili nalo ni Kanisa wanakohudhuria kusali watu wengine kama wafanyavyo hao watoto hapo juu
Hali halisi ya maisha ya wototo walio wengi
Waliobahatika wachache katika nchi yenye heri

4 comments:

  1. kwanza napiga hodi hapa. Halafu nasema nimefurahi na nimecheka sana. kazi nzuri unafanya

    ReplyDelete
  2. mkuu nimefurahi sana kwa blog nzuri kama hii. karibu sana katika ulimwengu wa kublog.
    ni picha nzuri sana.

    ReplyDelete
  3. Karibu sana Mkuu. Karibu katika ulimwengu wa ku-blog.
    Blessings

    ReplyDelete
  4. kaka karibu sana katika ulimwengu wa kublogu maana ni zma mpya hizo lakini tusisahau yetu au vipi mwanakwetu.
    hodiiiiiiiiiiiiiiii hapa NYUMBANI nawe KARIBU NYASA

    ReplyDelete

Maoni yako