Wednesday 17 June 2009

BARABARA ZETU KWA KIWANGO CHA LAMI

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akipongezana na Balozi wa Norway hapa nchini baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya ukarabati wa barabara za Mkoa wa Iringa ambazo ni Tanzam,Iyovi Kitonga na Kikokoto pamoja na barabara ya Chepuko inayoingia Iringa mjini barabara hizo zote zina urefu wa kilomita149.6 sherehe hizo zimefanyika leo juni 14 kijiji cha mzombe Wilayani Kilolo na katikati ni mkuu wa mkoa wa Iringa Mohamed Abdulaazizi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako