Tuesday 2 June 2009

Mmmmmh HAPA TUMEZIDI KWAKWELI !

Huwezi amini macho yako lakini hivi ndivyo ilivyokuwa,huyu jamaa amekutwa jana maeneo ya Kihesa Transformer akimchuna mbwa kwa ajili ya kitoweo...mbwa huyo alikuwa amegongwa na gari maeneo hayohayo ya Kihesa.Lakini jamaa ndio ananikumbusha ile misemo;
Kiongozi: "Nyama nyama nyama" Waitikiaji: "Nyama",
Kiongozi "Ya Mbuzi?" Waikiaji: "Nyama",
Kiongozi: "Ya mbwa" Waikitiaji: "Nyama"

...