Unapokuwa unamaliza visigino kwa safari za umbea au kila kukicha ni wewe kufunga safari kwenda kutenda yanayomchukiza aliyekuumba,kumbuka kuna wengine hawana hiyo miguu au ni vilema na wanajitahidi kumtukuza muumba wao
Pamoja na kutokuwa na miguu wala mikono anatabasamu akimshukuru Mungu kwa yote.
GF TRUCKS YAWASHIKA MKONO FEMATA SAFARI YA CANADA
38 minutes ago



Hii ni ngumu sana kwa wengi wetu kufikiria. Maana tungekuwa tunafikiria hakika tusingekuwa tukifanya tufanyavyo....Ahsante kwa ujumbe murwa.
ReplyDelete