Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” wakati wa mkutano wa kampenzi uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.
Hapa mgombea Ubunge akimwaga sera zake
Na nyingine ni picha za Tukio
WAZIRI MKUU: TUEPUKE MIGOGORO NA MIZOZO
13 hours ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako