Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Baadhi ya watu wamekuwa wakiikashfu serikali ya CCM kwamba hakuna lolote ililofanya katika kupunguza makali ya maisha kwa wananchi. Je Daraja hili sio kitu kwa wananchi wa Kanda ya Magharibi na watanzania kwa ujumla?
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
11 hours ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako