Akiri hakuwa LIKIZO kama wengine walivyokuwa wanasema.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amesema amestaafu siasa hana chama, atabakia kuwa Mtanzania wa kawaida, mwaminifu kwa Taifa lake.
Amesema hataki kumtetea yeyote. Amekuja kuweka ukweli wazi (HABARI ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE)
VIDEO ZAIDI
WAZIRI MKUU: TUEPUKE MIGOGORO NA MIZOZO
13 hours ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako