Sunday 2 December 2012

SIDHANI KAMA INASAIDIA


Jana tulikuwa tunaadhimisha siku ya Ukimwi Duniani, nikamwona huyu jamaa yangu na kujiuliza kama hii ndo gear ya kuzuia maambukizi, basi hapa atakuwa mbali na ukweli au unasemaje mdau. Samahani kwa picha hii kama itakukwaza lakini ni kufikisha ujumbe tu.No comments:

Post a Comment

Maoni yako