Hapa watoto hawa wameamua kubuni njia rahisi za usafiri wao.
Katika kujitahidi kujifunza kwa bidii, huyu nae kabuni njia ya kuzuia usingizi akiwa katika kujifunza. Lakini hapa naona kazidiwa na kaupchapa usingizi hapo hapo. Chezea chemli wewe!
Timiza Ndoto Zako na Meridianbet Leo
9 hours ago
Ama kweli huu ni ubunifu..nimeupenda hasa huu wa kwanza maana wanaweza hata kwenda shule na hizo pikipiki miti:-)
ReplyDeleteSafi sana hizo na hazina foleni
ReplyDelete