Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili
Usiku wa kuamkia Ijumaa, Ndege hii mali ya shirika la ndege la Tanzania ilitua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.Hongera kwa Shirika hilo kwa kuboresha huduma maana ni hatua nzuri sasa.
Mwonekano wa ndani ya ndege.
(Picha zote kwa hisani ya Dj.Seki Blog)
BASATA Yashukuru DCEA kwa Kurejesha Afya ya Chid Benz
32 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako