Sunday 23 March 2014

MIAKA 5 TANGU KUONDOKEWA NA BABA MZAZI

Mwandishi wa Blog hii leo anaungana na wanafamilia, Ukoo wa Mwangoka na Swai kufanya kumbukumbu ya miaka 5 tangu kuondokewa na baba yao kipenzi Mzee Amedeus Mwangoka Huko Sanya Juu-Kilimanjaro. Anaomba sala zenu. "Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe"
Baba mzazi enzi za uhai wake.
Mwandishi wa Blog hii akiwa katika majonzi siku ya mazishi ya Baba yake mzazi

2 comments:

  1. Ama kweli kila mtu ana siku yake au mpo wawili wawili...kwani hii tarehe familia ya mzee Ngobyani pia iliondokewa na kipenzi chao Asifiwe....Mwenyezi Mungu szilaze roho za marehemu mahali pema poeponi.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa sala Dada. Tuendelee kuwaombea

    ReplyDelete

Maoni yako