Friday, 4 March 2016

MHE.SAMIA SULUHU (MAKAMU WA RAIS) NA MHE:UMMY MWALIMU (WAZIRI) WAFANYA MAZUNGUMZO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.

Thursday, 3 March 2016

JIWE LA MSINGI BARABARA YA KISASA YA ARUSHA HOLILI(TANYANIA) hadi TAVETA VOI (KENYA)

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenyi wa Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 234.2

Wednesday, 2 March 2016

SUDAN KUSINI YAKUBALIWA KUJIUNGA NA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Wakuu wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wameikubalia Sudan Kusini kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo ya kikanda. Mkutano wa kilele wa Jumuiya hiyo jijini Arusha leo Jumatano (Machi 2) umepitisha pendekezo la baraza la mawaziri juu ya uwanachama wa Sudan Kusini na pia hali ya usalama nchini Burundi.

BEI YA MAFUTA YASHUKA KIDOGO

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi amesema ‘kuanzia tarehe 2 Machi bei za mafuta zimebadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la Februari 2016

PATA TABASAMU TOKA KWA MASANJA MKANDAMIZAJI

Ukisalimiana na mkuu wa nchi lazima ucheki pembeni kidogo, maana anaweza kuona kachunusi akadhani jipu. Kauliza nguo bei gani, nikasema tumegaiwa kanisani. Maana angeweza kusema hela umetoa wapi na risiti ya mashine ya TRA ya manunuzi iko wapi.πŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ

Tuesday, 1 March 2016

TANZANIA TULALE TU!; JUZI WALISEMA OLDUVAI GORGE IPO KWAO,LEO ONA NDEGE ZAO ....

Hotuba ya Ms. Rosemary Odinga

Tangazo la Mlima Kilimanjaro kwenye Ndege ya Kenya

WATANZANIA TUWE NA HULKA YA KUCHANGIA MAWAZO CHANYA NA SIO KUKATISHA TAMAA

Mhe Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akitoa ufafanuzi baada ya kutokea maoni mengi kupelekea wazo na ombi lake la Waalimu Mkoani Dar kusafiri bure kwenye daladala waendapo na kurudi toka shuleni.
VIDEO/AUDIO

VUNJA MBAVU YA MWEZI MACHI