Rais Mstaafu DKT. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Tuzo ya Uongozi wa Kisiasa na Utetezi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Speak Up Afrika Bi Kate Campana, katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamis New York Marekani. Tuzo hiyo ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani afya kwa kwa wanawake na watoto.
WATATU MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI MOROGORO
4 hours ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako