Najiuliza tu lakini;
TRENI ya Mwakyembe ilivyoanza kazi siku za mwanzo, tulipanda BURE.
MABASI YA MWENDO KASI tulipanda BURE
DARAJA LA NYERERE(KIGAMBONI) tulipita BURE
Sijui na hii NDEGE MPYA YA ATCL tutasafiri BURE nijiandae?
Cheza Kasino Ufukuzie Ubingwa wa Maisha yako
28 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako