Friday 19 October 2012

KARIBUNI MLO WA MCHANA (LUNCH)

Wadau leo inabidi twende mpaka Bukoba ili lunch yetu inoge

2 comments:

  1. Hakuna shida mie nipo tayari kufuatana nawe maana mie na ndizi kama samaki ma maji...

    ReplyDelete
  2. jamani huo msosi unaniusu saaaana

    ReplyDelete

Maoni yako