Wednesday, 7 September 2016

WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WAFANYA MITIHANI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI NCHINI

Leo Wanafunzi wa Darasa la saba pote nchini wameanza kufanya mitihani yao ya kuhitimu Shule ya Msingi. Tunawatakia mafanikio mema na ufaulu mzuri wa mitihani hiyo.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako